Search

53 results for JOHNSON JAMES :

  1. Yanga yatwaa ubingwa wa 30, Mtibwa majonzi

    SASA ni rasmi kwamba Yanga ni bingwa mpya wa Ligi Kuu Bara baada ya jana kuwachapa Mtibwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani Mkoani hapa.

  2. POWER IRANDA: Hizi ndizo siri za kiduku katika ngumi

    UNAPOLITAJA jina la Twaha Kiduku, basi huwezi kuacha kumtaja kocha wake, Chanzi Mbwana Chanzi maarufu kama Power Iranda kwa kuwa ndiye aliye nyuma ya mafanikio ya mbabe huyo wa masumbwi nchini.

  3. Mtibwa bado wanaitaka Ligi Kuu

    HAIJAISHA hadi iishe ndiyo kauli wanayoishi nayo timu ya Mtibwa Sugar huku matumaini yao makubwa yakiwa ni kwamba msimu ujao wataendelea tena kukiwasha Ligi Kuu ya NBC licha ya kwamba hivi sasa...

  4. Serikali kukarabati uwanja wa Jamhuri, Morogoro

    Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda serikali...

  5. Kurugenzi waikimbia Moro Kids 'playoff' First League

    Morogoro. Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika baada ya Kurugenzi kushindwa kufika katika mchezo...

  6. Saliboko aizamisha Mtibwa Sugar

    Kiungo mshambuliaji wa KMC, Daruweshi Saliboko amelizamisha jahazi la Mtibwa Sugar baada ya kufunga bao pekee la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Manungu,Turiani...

  7. PRIME Straika anayekiwasha na mtoto uwanjani

    Kuna vitu vinaendelea viwanjani haswa hapa Morogoro vinavutia na kusisimua sana. Mojawapo ni hili lilitokea kwenye Ligi ya soka ya Wanawake Mkoa wa hapa iliyomalizika hivikaribuni na timu ya...

  8. Kiduku, Mandonga ulingoni kesho

    Bondia Twaha kiduku anatarajia kuzichapa na Harpreet Singh wa India katika pambano lisilokuwa na ubingwa litakalofanyika kwenye ukumbi wa Tanzanite uliopo mjini Morogoro, huku Karim Mandonga...

  9. PRIME Katwila amejiuzulu mara tatu Mtibwa

    UKITAJA timu zinazopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa huwezi kuiacha Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani hapa. Hawa jamaa wamecheza mechi 20 na wamekusanya alama 16 pekee. Wanapitia...

  10. Siri ya Katwila kunyoa kipara

    kama Mayanga nilikuwa namnyoa na wengine ila huyu nimemzoea sana,” anasema Anasema kutokana na kazi yake ya kuwa kinyozi alipata bahati ya kumnyoa kiungo mkabaji wa Mtibwa enzi hizo, Mghana...

Page 1 of 6

Next